Duka la vitabu
Jinsi vitabu vya OBTS vitakavyouzwa.
Bado haijafunguliwa. Huduma hii imejengwa na kujaribiwa kwenye mazingira ya majaribio; itafunguliwa tu shule itakapoidhinisha uzinduzi. Hadi wakati huo, uliza kwa WhatsApp. Uliza kwa WhatsApp
Hakuna kitabu kinachouzwa kwa sasa.
Kabla kitabu hakijauzwa
- Kitabu kinapita wazo, outline, sura, vyanzo, ukaguzi, jalada na PDF, kisha kinaidhinishwa.
- Shule inaidhinisha sampuli utakayoweza kusoma kabla ya kununua.
- Shule inapitisha bei.
Utakavyonunua
- Soma ukurasa wa kitabu: maelezo, sampuli na bei iliyopitishwa.
- Agiza kwa namba yako ya WhatsApp; unapokea namba ya oda na kiasi.
- Lipa kwa njia ya malipo iliyotangazwa na OBTS na utume namba ya muamala.
- Mfanyakazi wa fedha anathibitisha malipo; kisha kitabu kinatumwa kwako na utoaji unarekodiwa.
